Famatz blog tunapenda kukutabulishia njia mpya itakayo muwezesha mwanao aliyeko darasa la saba, kidato cha pili, kidato cha nne na kidato cha sita ya kuwa kuna program mpya tumeanzisa ambapo mitihani itakuwa inatolewa na famatz kila jumamosi hivyo wanafunzi watajipima kisha jumapili marking scheme itatimwa ili wajisahihishie
Huduma hii itaanza rasmi jumamosi ya tarehe 9 june 2018, kaa mkao wa kufaulu.
Huduma hii itakuwa ikilipiwa kwa sh 200/= kwa kila mtihani. Kwa maana kwamba Marking scheme itatolewa tu kwa wale waliotoa Sh 200/=
Marking scheme zitakuwa zilitumwa moja kwa moja kwa njia ya whatsApp ambapo kama mtoto wako akifanya itabidi ututafte tukupatie marking scheme mtoto apate kujisahihisha.
Namba yetu ya whatsApp ni 0746587701, wasiliana nasi kama una maoni yeyote.

0 Comments