Shule 10 zilizoongoza kwa kufaulu Mtihani wa form six nchini Tanzania mwaka 2022:
10. Ziba, Tabora - Shule ya Serikali
9. Mkindi, Tanga - Shule ya Serikali
8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
7. Nyaishozi Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi
6. Dareda Sekondari Manyara - Shule ya Serikali
5. Ahmes Sekondari Pwani - Shule ya Binafsi
4. Tabora Girls Tabora - Shule ya Serikali
3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
2. Kisimiri Sekondari Arusha - Shule ya Serikali.
1. Kemebos Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi.
0 Comments