KARIBUNI VYUO VIKUU

Ikiwa ni sasa mwezi wa tano, ndugu zetu na wadogo zetu form six wakiwa wanamalizia mitihani yao ya kidato cha sita huenda wakawa na hamu sana ya kufika vyuo vikuu.


Famatz blog imekuandalia mtililiko wa kumuongoza mwanachuo mtatajiwa juu ya ndoto zake za kusoma chuo kikuu na jinsi ya kuchagua masoma yanayomfaa kulingana na masomo aliyoyasoma akiwa high school.


Pia hatujawasahau wale Equivalents yaani wale wanaotokea diploma na huko kwingineko.
Vyuo vikuu kwa hapa Tanzania viko vingi sana, kwahiyo ni matarajio yangu kuwa utachagua course zinazokufaa kulingana na ndoto za maisha yako.



Post a Comment

0 Comments